0
MAMA WA KIAFRIKA
Inasemekana kwa Africa ina wakina mama walio na uwezo mkubwa wa kumudu mambo mengi kwa wakati mmoja. Hii ni kwa sababu ya ugumu wa maisha wanayokabiriana nayo katika maisha ya kila siku. Pia inaonesha kwamba wengi wa wakina mama hawa wanapata kukoma katika maeneo mbalimbali ya miili yao sababu ya kazi ngumu wanazifanya . Tafiti zinaonyesha kwamba Tanzania kuna baadhi ya makabila ambayo mwanamke ndiya anaye fanya kazi zote ngumu za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto na kutafuta nishati ya kuna na vinginevyo ikiwemo kwenda mashambani wakati baba (mwanaume ) akiwa katika vigenge ya bao

PICHA NI MAMA AKIWA AMETOKA KUTAFUTA RIZIKI YA KILA SIKU

Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top